Matayo 17:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Petro akawajibu: “Ndiyo, analipa.” Petro alipoingia ndani ya nyumba, mbele hajasema kitu Yesu akamwuliza: “Simoni, unafikiri nini? Wafalme wa dunia wanawalipisha watu gani kodi au malipo mengine mbalimbali? Ni watu wa jamaa zao wenyewe au watu wengine?” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |