38 Watu waliokula walikuwa wanaume elfu ine, pasipo kuhesabu wanawake na watoto.
Wote wakakula na wakashiba. Kisha wanafunzi wakaokota vipande vilivyobaki, wakajaza vitunga saba.
Kisha kuaga yale makundi ya watu, Yesu akaingia ndani ya chombo, na kwenda pande za Magadani.