Matayo 15:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200232 Yesu akawaita wanafunzi wake, na kuwaambia: “Ninawasikilia watu hawa huruma, kwa sababu wamekaa nami sasa kwa muda wa siku tatu, nao hawana chakula tena. Nami sitaki kuagana nao pasipo kula, kusudi wasiregee katika njia.” အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |