Matayo 14:13 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200213 Yesu aliposikia habari hii, akaondoka pale ndani ya chombo, na kwenda peke yake kwa pahali penye ukiwa. Nayo makundi ya watu waliposikia vile, wakatoka katika miji yao na kumufuata Yesu kwa miguu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |