Matayo 13:42 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200242 Nao watawatupa ndani ya furu la moto, na mule watalia na kusaga meno. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Yule nyama akakamatwa pamoja na yule nabii wa uongo aliyeonyesha vitambulisho mbele yake. (Ni kwa njia ya vitambulisho vile aliwadanganya wale waliopigwa chapa ya yule nyama na wale walioabudu sanamu yake.) Nyama yule pamoja na nabii wa uongo wakatupwa wangali wazima katika ziwa la moto munamowaka mawe ya kiberiti.