Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Matayo 13:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

34 Yesu aliwaambia makundi ya watu maneno hayo yote akitumia mifano. Yeye hakusema nao pasipo kutumia mifano.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Matayo 13:34
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Ni kwa sababu hiyo ninasema nao kwa kutumia mifano: kwa kuwa wanaangalia, lakini hawaoni, nao wanasikiliza lakini hawasikii wala hawafahamu.


Halafu akawafundisha mambo mengi akitumia mifano, akasema: “Mutu mumoja alikwenda kupanda mbegu.


Yesu aliwaambia mufano huu, lakini hawakuelewa maneno aliyosema.


“Nimewaambia ninyi maneno hayo kwa mifano. Lakini kutakuwa wakati sitasema nanyi tena kwa mifano, lakini nitawaambia ninyi waziwazi juu ya Baba.


Basi wanafunzi wake wakamwambia: “Sasa unasema waziwazi pasipo kutumia mifano.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ