Matayo 12:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Aliingia ndani ya nyumba ya Mungu na kula mikate mitakatifu iliyotolewa kwa Mungu. Ijapokuwa vile haikuruhusiwa kwake wala kwa watu wake kukula mikate kama ile, isipokuwa makuhani peke yao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |