Matayo 11:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Na ikiwa munasadiki, Yoane ndiye nabii Elia aliyepaswa kuja. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Kisha nikaona viti vya kifalme na watu waliokuwa wakiikaa juu yao, wakapewa uwezo wa kuhukumu. Nikaona vilevile roho za wale waliochinjwa kwa sababu ya kutangaza ukweli ulioshuhudiwa na Yesu na Neno la Mungu. Watu wale hawakumwabudu yule nyama wa ajabu, wala sanamu yake, wala hawakupigwa chapa yake juu ya paji za nyuso zao, au juu ya mikono yao. Nao wakafufuka na kutawala pamoja na Kristo muda wa miaka elfu moja.