Marko 6:56 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200256 Na kila pahali Yesu alipokwenda, katika vijiji, miji, au kwenye mbuga, watu waliweka wagonjwa katika viwanja vya makutano na kumusihi awaache wagonjwa waguse hata upindo wa kanzu yake tu. Nao wote waliougusa, walipona. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |