47 Giza lilipoingia, chombo kilikuwa katikati ya ziwa, na Yesu alikuwa peke yake inchi kavu.
Kisha kuagana nao, akapanda kwenye kilima peke yake kwa kuomba. Na giza lilipoingia, alikuwa angali kule peke yake,
Kisha kuwaaga, akaenda kwenye kilima kwa kuomba.
Aliwaona wanafunzi wake wakitaabika kwa kuendesha chombo sababu upepo ulikuwa ukiwarudisha nyuma. Basi ilipokuwa karibu na mapambazuko, Yesu akawafikia akitembea juu ya maji, akitaka kuwapita.