40 Wakaikaa kwa makundi ya watu mia moja mia moja, na makumi tano tano.
Basi Yesu akawaamuru wanafunzi wake wawaambie watu wote waikae chini kwenye majani kwa makundi mbalimbali.
Kisha Yesu akatwaa ile mikate mitano na samaki mbili, akainua macho mbinguni, akamushukuru Mungu. Akamega ile mikate, akawapa wanafunzi wake pamoja na zile samaki mbili kusudi waigawanyie watu wote.