32 Basi wakaenda peke yao ndani ya chombo kwa pahali penye ukiwa.
Na kwa kuona uwingi wa watu wale, Yesu akawaambia wanafunzi wake wamutayarishie chombo kidogo kusudi wasimusonge.
Basi wanafunzi wakaaga kundi la watu, wakaingia ndani ya chombo Yesu alimokuwa na kuondoka pamoja naye. Na vyombo vingine vikamusindikiza.
Lakini watu wengi waliwaona wakiondoka, wakawatambua. Kwa hiyo wakaenda kule mbio kwa miguu toka miji yote, wakawatangulia kule walipokuwa wakienda.
Pale pale Yesu akawalazimisha wanafunzi wake waingie ndani ya chombo na kumutangulia ngambo ingine ya ziwa la Galilaya kuelekea muji Betesaida. Kwa wakati ule alibaki akiaga lile kundi la watu.
Kisha akaingia ndani ya chombo walimokuwa, na upepo ukakoma. Kwa hiyo wanafunzi wakashangaa sana,
Nyuma ya maneno hayo, Yesu akavuka ziwa la Galilaya (linaloitwa vilevile Tiberia).