Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Marko 6:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

30 Mitume wakarudi kwa Yesu, na kumwelezea mambo yote waliyofanya na yote waliyofundisha.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Marko 6:30
17 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Yule mutumishi akamwelezea Isaka yote aliyokuwa ameyafanya.


Na haya ndiyo majina ya hao mitume wake kumi na wawili: kwanza Simoni (anayeitwa vilevile Petro) na ndugu yake Andrea; Yakobo na ndugu yake Yoane, ambao ni wana wa Zebedayo;


Akachagua kumi na wawili kati yao, kusudi wakae pamoja naye na apate kuwatuma kwa kuhubiri,


Wakati wanafunzi wa Yoane walipopata habari ile, wakaenda kubeba maiti yake na kuizika.


Wale wanafunzi makumi saba wakarudia wakijazwa na furaha, nao wakasema: “Bwana, hata pepo wanatutii tunapowaamuru kwa jina lako!”


Mitume wakamwambia Bwana: “Utuongezee imani.”


Saa ilipotimia, Yesu akaikaa kula chakula pamoja na wanafunzi wake.


Na hawa ndio waliowapasha habari ile kwa mitume: Maria wa Magdala, Yoana na Maria mama ya Yakobo. Kulikuwa vilevile wanawake wengine pamoja nao.


Kulipokucha, akawaita wanafunzi wake, na kuchagua hawa kumi na wawili katikati yao, akawapanga jina la mitume:


Mitume waliporudia toka kuhubiri wakamwelezea Yesu mambo yote waliyofanya. Kisha akaondoka pamoja nao na kwenda kwenye nafasi ya upekee karibu na muji Betesaida.


Halafu wakapiga kura, na kura ikamwangukia Matia. Naye akaongezwa katika kundi la wale mitume kumi na mumoja.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ