Marko 6:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Siku moja Herodia alipata wakati wa kumwua Yoane. Ilikuwa sikukuu ya kuzaliwa kwa Herode, wakati alipofanya karamu kwa wasimamizi wa serikali yake, wakubwa wa waaskari na waheshimiwa wa Galilaya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |