Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Marko 5:32 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

32 Lakini Yesu akaangalia pande zake zote kusudi amwone yule aliyefanya vile.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Marko 5:32
3 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Yesu akaangalia pande zake zote na kuwaambia wanafunzi wake: “Kweli ni vigumu sana kwa watajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!”


Wanafunzi wake wakamujibu: “Hauoni namna watu wanavyokusongasonga? Namna gani unauliza kwamba ni nani aliyekugusa?”


Yule mwanamuke akaogopa na kuanza kutetemeka, kwa sababu alitambua yote yaliyomutukia. Halafu akakuja kujitupa kwa miguu yake na kumwambia ukweli wote.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ