Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Marko 4:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

34 Hakusema nao pasipo kutumia mifano lakini alipokuwa pamoja na wanafunzi wake peke yao, aliwafasiria mambo yote.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Marko 4:34
12 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Yesu aliwaambia makundi ya watu maneno hayo yote akitumia mifano. Yeye hakusema nao pasipo kutumia mifano.


Wanafunzi kumi na wawili wa Yesu pamoja na watu waliokuwa pembeni yake walipokuwa peke yao, wakamwuliza awaelezee maana ya mifano ile.


Yesu aliwafundisha watu kwa mifano mingi ya namna hii kwa kadiri walivyoweza kuelewa.


Kisha akawaelezea maneno yaliyoandikwa juu yake katika Maandiko Matakatifu yote, akianza toka vitabu vya Musa na kuendelea katika vitabu vya manabii wote.


Yesu aliwaambia mufano huu, lakini hawakuelewa maneno aliyosema.


“Nimewaambia ninyi maneno hayo kwa mifano. Lakini kutakuwa wakati sitasema nanyi tena kwa mifano, lakini nitawaambia ninyi waziwazi juu ya Baba.


Halafu wakapanga siku ya kukutana na Paulo. Na siku ile watu wengi zaidi wakamufikia pahali alipopanga. Na tangu asubui mpaka magaribi Paulo akawaelezea mambo mengi na kutoa ushuhuda juu ya habari za Ufalme wa Mungu. Alitaka wasadiki habari za Yesu akitaja maneno ya Sheria ya Musa na ya vitabu vya manabii.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ