13 Kisha Yesu akapanda juu ya kilima, akawaita watu aliowataka mwenyewe, nao wakakuja kwake.
Yesu alipoona yale makundi ya watu, alipanda kwenye kilima. Alipokwisha kuikaa, wanafunzi wake wakamujongelea.
Akachagua kumi na wawili kati yao, kusudi wakae pamoja naye na apate kuwatuma kwa kuhubiri,
Aliwaita wanafunzi wake kumi na wawili, akaanza kuwatuma wawili wawili na kuwapatia uwezo wa kufukuza pepo.
Yesu akawakusanya wanafunzi wake kumi na wawili na kuwapatia uwezo na mamlaka ya kufukuza pepo, na uwezo wa kuponyesha wagonjwa.
Yesu akapanda kwenye kilima, na kuikaa kule pamoja na wanafunzi wake.