Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Marko 2:26 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

26 Si aliingia ndani ya nyumba ya Mungu na kula mikate mitakatifu iliyotolewa kwa Mungu? Jambo hili lilifanyika wakati Abiatari alipokuwa Kuhani Mukubwa. Ni makuhani tu walioruhusiwa kula mikate ile, lakini Daudi alikula na kuwapa watu wake vilevile.”

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Marko 2:26
18 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kuhani Abiatari akatoka, hata na kuhani Zadoki akatoka pamoja na Walawi wote wakilibeba Sanduku la Agano la Mungu. Wakaliweka lile Sanduku la Mungu chini, mpaka watu wote walipopita kutoka Yerusalema.


Kwa hiyo Zadoki na Abiatari wakalirudisha Sanduku la Agano la Mungu Yerusalema, wakabaki humo.


Makuhani Zadoki na Abiatari wako pamoja nawe katika muji. Basi, chochote utakachosikia kutoka katika nyumba ya mufalme, uwaambie makuhani Zadoki na Abiatari.


Sewa alikuwa katibu. Zadoki na Abiatari walikuwa makuhani.


Zadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiatari walikuwa makuhani. Seraya alikuwa katibu.


Adonia akafanya shauri na Yoabu mwana wa Zeruya, na kuhani Abiatari. Nao wakamufuata na kumwunga mukono.


Mufalme Solomono akamwuliza mama yake: “Kwa nini unataka nimupe Abisagi? Hii ni sawa kabisa na kumutakia ufalme wangu! Kumbuka kwamba yeye ni mukubwa yangu, na si ile tu, kuhani Abiatari na jemadari Yoabu mwana wa Zeruya, wako upande wake!”


Naye Semaya mwana wa Nataneli, mwandishi, aliyekuwa Mulawi, akawaandika mbele ya mufalme Daudi, wakubwa wake, kuhani Zadoki, Ahimeleki mwana wa Abiatari na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi; ukoo wa Eleazari ukatwaliwa kwa kupiga kura mbili na ukoo wa Itamari kwa kupiga kura moja.


Aliingia ndani ya nyumba ya Mungu na kula mikate mitakatifu iliyotolewa kwa Mungu. Ijapokuwa vile haikuruhusiwa kwake wala kwa watu wake kukula mikate kama ile, isipokuwa makuhani peke yao.


Yesu akawajibu: “Hamujasoma bado vile Daudi alivyofanya wakati alipohitaji chakula, kwa sababu yeye mwenyewe na watu wake walisikia njaa?


Daudi akasimama na kwenda zake, naye Yonatani akarudi katika muji.


Abiatari mwana wa Ahimeleki, alipokimbilia kwa Daudi kule Keila, alikwenda na kizibao cha kuhani.


Daudi aliposikia mipango miovu ya Saulo juu yake, akamwambia kuhani Abiatari: “Ulete hapa kile kizibao cha kuhani.”


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ