Marko 16:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Kwa mwisho Yesu akawatokea wanafunzi kumi na mumoja walipokuwa wakikula. Naye akawakaripia kwa sababu ya kutokuamini kwao na kwa sababu ya ugumu wao. Kwa maana hawakusadikia wale waliomwona nyuma ya kufufuka kwake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |