38 Basi pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini.
Tumaini hili linasimamisha imara na kulinda mioyo yetu kama vile nanga inavyosimamisha mashua imara. Nalo linapita katika pazia na kuingia katika Pahali Patakatifu Sana.