Marko 14:72 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200272 Mara moja jogoo akawika kwa mara ya pili, na Petro akakumbuka maneno yale Yesu aliyomwambia kwamba mbele jogoo hajawika mara mbili, atakuwa amemukana mara tatu. Basi akaanza kulia. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |