Marko 14:68 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
68 Lakini Petro akakana, akisema: “Sijui wala sifahamu maneno unayotaka kusema.” Kisha akatoka inje ya upango na kwenda kwenye kiingilio cha mulango. [Jogoo akawika.]
Mara moja jogoo akawika kwa mara ya pili, na Petro akakumbuka maneno yale Yesu aliyomwambia kwamba mbele jogoo hajawika mara mbili, atakuwa amemukana mara tatu. Basi akaanza kulia.