Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Marko 13:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

15 Atakayekutiwa juu ya paa la nyumba asishuke na kuingia ndani ya nyumba kutwaa kitu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Marko 13:15
13 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Harakisha! Kimbilia kule, nami sitafanya lolote mpaka utakapofika kule.” Hivyo muji ule ukaitwa Soari.


Lakini muke wa Loti aliyekuwa nyuma ya Loti, akatazama nyuma, akageuka nguzo ya chumvi.


Shetani akamujibu Yawe: “Ngozi kwa ngozi! Mutu anatoa kila kitu anachokuwa nacho kusudi aokoe maisha yake.


Mwenye akili anaona hatari na kujificha, lakini wajinga wanajitokeza mbele na kuumia.


Na mutu atakayekutiwa katika shamba, asirudi kwake kwa kutwaa nguo yake.


Walipokwisha kushiba, wakatupa mizigo ya ngano katika bahari kwa kupunguza uzito wa chombo.


Kwa njia ya imani, Noa alionywa na Mungu juu ya mambo yatakayotokea, yale aliyokuwa hajayaona bado. Yeye alimutii Mungu na kujenga chombo kwa kujiokoa yeye mwenyewe pamoja na jamaa yake. Kutokana na hayo yote akahukumu dunia na kupokea haki inayopatikana kwa njia ya imani.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ