Marko 11:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Yesu akafika Yerusalema na kuingia ndani ya hekalu. Alipokwisha kuangalia vitu vyote pande zote, akaondoka na kwenda Betania pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili, kwa sababu ilikuwa imekwisha kuwa magaribi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |