Marko 1:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Wakati Yesu alipokuwa akitembea pembeni ya ziwa la Galilaya akawaona wavuvi wawili, waliokuwa wandugu za tumbo: Simoni na ndugu yake Andrea. Walikuwa wakitupa nyavu katika ziwa lile. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |