10 Ngozi zetu zinawaka moto kama furu, kwa sababu ya njaa inayotuchoma.
Ngozi yangu inakuwa nyeusi na inachubuka, mifupa yangu inaungua kwa homa.
Nimekunjamana kama mufuko wa ngozi katika moshi, hata hivyo sijasahau masharti yako.
Amenichakalisha ngozi na nyama, ameivunja mifupa yangu.
Sasa sura zao ni nyeusi kuliko makaa, wanapita katika barabara bila kujulikana; ngozi yao imebanana na mifupa yao, imekauka, imekuwa kama kuni.