Maombolezo 3:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Amenizungushiia ukuta na siwezi kutoka, amenifunga kwa minyororo mizito. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Basi! Leo ninafungua minyororo toka mikono yako. Kama unaona ni vizuri kwenda pamoja nami mpaka Babeli, basi tuende pamoja; mimi nitakutunza vizuri. Lakini kama unaona si vizuri kwako kwenda pamoja nami mpaka Babeli, basi, usikuje. Ujue kwamba unaweza kwenda popote katika inchi hii. Basi kwenda kwenye unaona ni vizuri kwenda.