Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Maombolezo 3:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Amenikalisha katika giza kama watu waliokufa zamani.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Maombolezo 3:6
4 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Waadui zangu wamenifuatilia, wameniangusha chini kabisa, wameniikalisha katika giza kama mutu aliyekufa zamani.


Ee Yawe, unijibu haraka; maana roho yangu imeregea kabisa! Usinigeuzie mugongo, kusudi nisikuwe kama wale wanaoshuka katika shimo la wafu.


Kama vipofu tunapapasapapasa ukuta; tunasitasita kama watu wasiokuwa na macho. Tunajikwaa muchana kati, sawa vile ni usiku; kati ya wenye afya, sisi ni kama wafu.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ