Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Maombolezo 3:19 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

19 Kukumbuka taabu na kutangatanga kwangu kunanipa uchungu na sumu.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Maombolezo 3:19
9 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kwa hiyo, ee Mungu wetu, Mungu mukubwa, mwenye nguvu na wa kutisha, wewe unashika agano lako na kutenda wema. Mateso yaliyotupata, sisi, wafalme wetu, wakubwa wetu, makuhani wetu, manabii wetu, babu zetu na watu wako wote tangu wakati wa wafalme wa Asuria mpaka leo, usiyaone kuwa ni madogo.


Kumbuka, maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona jambo zuri lolote tena.


Wimbo wa safari za kidini. Ee Yawe, umukumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata.


Ee Yawe, utajificha hata milele? Mpaka wakati gani hasira yako itawaka kama moto?


Ee Bwana, yako wapi yale mema yako ya zamani uliyomwahidi Daudi kwa uaminifu wako?


Watu wanauliza: Kwa nini sisi tunakaa tu hapa? Tukusanyike, tuingie katika miji yenye kuzungukwa na kuta, tuangamie kule! Yawe, Mungu wetu, amekusudia tuangamie, ametupa maji yenye sumu tukunywe, kwa sababu tumemukosea yeye.


Nitawatawanya kati ya mataifa ambayo wao wenyewe wala babu zao hawakupata kuyajua; na kisha nitatuma vita nyuma yao mpaka hapo nitakapowaangamiza wote.


Amenikusanyia na kunizungushia uchungu na mateso.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ