Maombolezo 2:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Yawe amechukia mazabahu yake na hekalu lake amelikataa. Amewaachilia waadui wazibomoe kuta za nyumba zake katika muji. Wakapiga kelele ndani ya nyumba ya Yawe kama kelele za wakati wa sikukuu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |