Maombolezo 1:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 Watu wa Yuda wamekwenda katika uhamisho, wakijaa mateso na kuwa katika utumwa mukali. Wanakaa kati ya watu wa mataifa, wala hawapati nafasi ya kupumzikia. Waliowafuatilia wamewakamata wakiwa katika taabu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |