Maombolezo 1:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Sikiliza ninavyolalamika; hakuna wa kunifariji. Waadui zangu wote wamesikia juu ya taabu yangu: wanafurahi kwamba umeniletea hasara. Uifanye ile siku uliyoahidi ifike, uwafanye nao wateseke kama mimi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |