Malaki 3:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Lakini ni nani atakayevumilia siku ile atakapokuja? Ni nani atakayesimama kuvumilia atakapotokea? Yeye ni kama moto mukali unaosafisha chuma; ni kama sabuni ya mwenye kufua nguo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |