45 Yesu akauliza: “Ni nani aliyenigusa?” Watu wote wakakana, lakini Petro akasema: “Bwana, hauoni kwamba watu wengi wanakuzunguka na kukusonga?”
Kwa maana siku zitakufikia wakati waadui zako watakapokuzunguka kwa vita, watakapojenga ukuta wa kujikingia pembeni yako, na kukusonga pande zote.
Simoni akajibu: “Mwalimu, tumetumika usiku kucha bila kupata kitu. Lakini kwa sababu umeniambia, nitashusha nyavu.”
Mwanamuke huyu akakuja nyuma ya Yesu na kugusa upindo wa nguo yake. Na mara moja akapona ule ugonjwa wa kutokwa na damu.
Lakini Yesu akawajibu: “Ninyi wenyewe muwape chakula!” Nao wakajibu: “Sisi tuko tu na mikate mitano na samaki mbili. Unataka sisi wenyewe tuende kuwanunulia watu hawa wote chakula?”