Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Luka 8:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

4 Watu walikuwa wakimufikia Yesu toka miji mbalimbali, na kundi kubwa la watu walikusanyika. Halafu akawaambia mufano huu:

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Luka 8:4
4 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Siku ile ile, Yesu akatoka ndani ya nyumba na kwenda kuikaa pembeni ya ziwa kwa kufundisha.


“Mupandaji mumoja alikwenda kupanda mbegu. Alipokuwa akipanda mbegu katika shamba lake, zimoja zikaanguka pembeni ya njia. Watu wakazikanyagakanyaga na ndege wakazikula.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ