19 Mama na wandugu za Yesu wakakuja kumwona, lakini hawakuweza kufika karibu naye kwa ajili ya kundi kubwa la watu.
Wandugu zake za jamaa waliposikia maneno haya, wakaondoka kwenda kumutwaa, kwa maana walisema kwamba amepotelewa na akili.
Halafu watu wakamwambia Yesu: “Mama yako na wandugu zako wanasimama inje, wanataka kukuona.”