Luka 5:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Halafu wakawafanyia wale wenzao waliokuwa ndani ya chombo kingine alama kwa mikono, kusudi wakuje kuwasaidia. Wakakuja, wakajaza vyombo vyote viwili na samaki wengi, hata vyombo vikaanza kuzama. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |