Luka 5:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Siku moja Yesu alipokuwa akifundisha, Wafarisayo na walimu wakubwa wa Sheria waliotoka katika kila kijiji cha jimbo la Galilaya na la Yudea na toka Yerusalema, walikuwa wakiikaa pale. Naye alikuwa akiponyesha wagonjwa kwa uwezo wa Bwana. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |