43 Akakitwaa na kukikula mbele yao.
Wakamupa kipande cha samaki iliyochomwa.
Hakuonekana kwa watu wote, lakini kwa sisi tuliochaguliwa na Mungu kuwa washuhuda. Ni sisi tuliokula na kunywa pamoja naye nyuma ya kufufuka kwake.