Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Luka 23:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

23 Lakini wakaendelea kupiga kelele kubwa wakiomba Yesu atundikwe juu ya musalaba. Na kwa mwisho akashindwa kwa sababu ya makelele yao.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Luka 23:23
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Atanipelekea musaada toka mbinguni na kuniokoa, atawafezehesha hao wanaonishambulia. Mungu atanionyesha wema na uaminifu wake!


Kwa muda wa mwezi mumoja, nikaua wachungaji watatu wabaya. Tena uvumilivu wangu kwa kondoo ukaniishia, nao kwa upande wao, wakanichukia.


Lakini Petro akazidi kusema kwa nguvu: “Hata ikinipasa kufa pamoja nawe, sitakukana hata kidogo.” Na wote wengine wakasema sawasawa naye.


Pilato akawaambia kwa mara ya tatu: “Alifanya ubaya gani? Mimi sikumwona na hata kosa moja linalomustahili kuhukumiwa kufa. Nitaamuru apigwe fimbo, na kisha nitamufungua.”


Halafu akakata shauri la kuwatendea sawa walivyotaka.


Lakini wakazidi kusema kwa nguvu: “Kwa njia ya mafundisho yake anawashawishi watu kufanya uasi katika Yudea yote. Alianzia Galilaya na sasa amefika hapa.”


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ