Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Luka 21:33 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

33 Mbingu na dunia vitatoweka, lakini maneno yangu hayatabadilika hata kidogo.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Luka 21:33
12 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wewe uliumba dunia tokea zamani, mbingu ni kazi ya mikono yako.


Tangu zamani, nimejifunza maagizo yako ambazo umeziweka hata zidumu milele.


Majani yananyauka na maua yanafifia, lakini neno la Mungu wetu linadumu milele.


Muinue macho, muangalie mbingu, kisha muangalie dunia kule chini. Mbingu zitatoweka kama moshi, dunia itachakaa kama nguo, na wakaaji wake watakufa kama vidudu. Lakini wokovu ninaouleta unadumu milele; ukombozi wangu hautakoma hata kidogo.


Mbingu na dunia vitatoweka, lakini maneno yangu hayatabadilika hata kidogo.


Kweli ninawaambia: kwa muda wote mbingu na dunia vitakapokuwa vingali, hakuna hata herufi moja wala nukta moja ya Sheria itakayoondoshwa mpaka yote yatimie.


Mbingu na dunia vitatoweka, lakini maneno yangu hayatabadilika hata kidogo.


Lakini ni vyepesi zaidi kwa mbingu na dunia kutoweka kuliko hata nukta moja ya Sheria kuondoshwa.


“Kweli ninawaambia: hiki kizazi hakitapita mbele ya kutimia kwa mambo yote.


Lakini Neno la Bwana linadumu hata milele.” Na Neno hili ni Habari Njema iliyohubiriwa kwenu.


Kisha nikaona kiti kikubwa cheupe cha kifalme pamoja na yule aliyeikaa juu yake. Dunia na mbingu vikatoweka mbele yake navyo havikuonekana tena.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ