34 Wanafunzi wake hawakufahamu maana ya maneno hayo, kwa sababu yalikuwa yamefichwa kwao, nao hawakutambua kama Yesu alisema juu ya nini.
Lakini wanafunzi hawakufahamu maana ya mafundisho hayo. Wakaogopa kumwuliza neno.
Watamupiga fimbo na kisha watamwua. Lakini kwa siku ya tatu kisha kufa kwake atafufuka!”
Lakini hawakufahamu neno lile alilowaambia.
Basi Yesu akawaambia: “Enyi wajinga na wenye mioyo mizito kwa kuamini maneno yote manabii waliyosema!
Halafu akawafungua akili kusudi wapate kufahamu Maandiko Matakatifu
Lakini wao hawakufahamu maana ya maneno hayo, kwa sababu yalikuwa yamefichwa kwao, kusudi wasipate kuyatambua. Nao waliogopa kumwuliza maana yake.
Yesu aliwaambia mufano huu, lakini hawakuelewa maneno aliyosema.
Wanafunzi wake hawakuelewa maneno haya kwanza, lakini wakati Yesu alipokwisha kutukuzwa, wakakumbuka kwamba maneno haya yameandikwa juu yake na ni vile walivyomutendea.