Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Kutoka 26:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Utatengeneza vifungio makumi tano vya shaba na kuviingiza katika zile kamba makuni tano kwa kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia na hivyo kufanya pazia moja la hema.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Kutoka 26:11
4 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Kisha utafanya kamba makumi tano kwenye upindo wa pazia la mwisho la kipande cha kwanza na kamba makumi tano kwenye upindo wa pazia la mwisho la kipande cha pili.


Ile nusu ya pazia iliyobaki utaitundika upande wa nyuma wa hema.


Utaunganisha mapazia matano yakuwe kipande kimoja na mapazia mengine matano yakuwe kipande cha pili.


Kisha utatengeneza vifungio makumi tano vya zahabu kwa kuunganishia vile vipande viwili vya mapazia, hivyo hema litakuwa kitu kimoja.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ