Kutoka 26:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Zaidi ya hayo yote, utatengeneza hema takatifu kwa mapazia kumi ya kitani safi iliyosokotwa, na kwa sufu ya rangi ya samawi, zambarau na nyekundu. Mapazia hayo utayapamba kwa makerubi waliochorwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |