Kutoka 22:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Lakini mwizi akishikwa wakati jua limechomoza na kuuawa, aliyemwua atakuwa na kosa. Mwizi anapaswa kulipa. Ikiwa hana kitu cha kulipa, basi, yeye mwenyewe atauzishwa kwa kulipa kile alichoiba. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |