Kutoka 19:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20029 Yawe akamwambia Musa: “Basi, mimi nitakufikia katika wingu zito kusudi Waisraeli wapate kunisikia ninaposema nawe na kukuamini siku zote.” Kisha Musa akamwambia Mungu jinsi watu walivyosema. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |