Kutoka 17:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Kutoka jangwa la Sini, Waisraeli wote pamoja wakasafiri hatua kwa hatua kama vile Yawe alivyoamuru. Watu wakapiga kambi kule Refidimu. Lakini kule hakukukuwa maji ya kunywa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |