Kutoka 16:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Halafu Yawe akamwambia Musa: “Mimi nitawanyeshea mikate kutoka mbinguni. Kila siku watu watatoka na kukusanya chakula cha siku hiyo. Kwa njia hii nitawapima nione kama watafuata sheria zangu au hawatazifuata. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |