Kutoka 16:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Waisraeli wote wakasafiri toka Elimu na kufika katika jangwa la Sini kati ya Elimu na Sinai. Hii ilikuwa siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili tangu walipoondoka inchi ya Misri. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |