Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Kutoka 15:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

5 Vilindi vya maji vimewafunika, wameporomoka katika bahari kama jiwe.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Kutoka 15:5
12 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Uligawanya bahari katikati mbele yao, nao wakapita katikati ya bahari, pahali pakavu. Lakini ukawatupa Wamisri waliowafuatilia kama jiwe zito ndani ya maji mengi.


Maji ya bahari yaliwafunika waadui zao; wala hapakubakia hata mumoja wao.


Maji yakafunika magari pamoja na wapanda-farasi. Jeshi lote la mufalme wa Misri lililokuwa limewafuatilia Waisraeli likakufa katika bahari. Hakukuponyoka Mumisri hata mumoja.


Lakini wewe uliuvumisha upepo wako, nayo bahari ikawafunika. Walizama ndani ya maji kama risasi.


Kitisho na hofu vimewashika. Kwa sababu ya ukubwa wa nguvu zako, wao wamenyamaza kimya kama jiwe, mpaka watu wako, ee Yawe, wapite, mpaka watu wale uliowakomboa wamewapita.


Nilizaliwa mbele ya vilindi vya bahari, mbele ya chemichemi zinazobubujika maji.


Lakini sasa umevunjikia ndani ya bahari; umeangamia katika vilindi vya maji. Biashara yako na watu wote waliokuwa ndani yako vimezama pamoja nawe.


Basi, Yona akiwa ndani ya tumbo la samaki yule, akamwomba Yawe Mungu wake,


Utatuhurumia tena; utatupilia mbali zambi zetu, utazitupa zote katika vilindi vya bahari.


“Lakini anayeangusha mumoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingalikuwa heri afungiwe jiwe kubwa la kusagia katika shingo na kuzamishwa ndani ya bahari.


Kisha malaika mumoja mwenye uwezo akanyanyua jiwe linalokuwa kama jiwe kubwa la kusagia. Akalitupa katika bahari akisema: “Ni hivi muji mukubwa wa Babeli utakavyotupwa kwa nguvu, nao hautaonekana tena.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ